Lifahamu Jimbo

Jimbo la Mara (Mara Conference) ni Jimbo dogo la Kanisa la Waadventista wa Sabato ndani ya Jimbo kuu la Kaskazini mwa Tanzania.

Jimbo la Mara linapatikana kaskazini magharibi mwa Tanzania na linaundwa na Mkoa mmoja wa Mara na Wilaya moja ya Ukerewe kutokea Mkoa wa Mwanza

Njozi Yetu

Kwa Kupatana na Ufunuo wa Biblia, Tunaamini kuwa kilele cha mpango wa Mungu ni urejezwaji wa viumbe vyote katika mapatano kamili na mapenzi yake na haki yake kamilifu.